Tuesday, April 14, 2015

Ni Daudi na Delfina!!

Baada ya kusubiria kwa muda mrefu, hatimaye tarehe 12Apr2015 ilifika na Daudi akamuoa Delfina. Ndoa yao ilifungwa katika kanisa la KVCC Mwanza na tafrija iliyofana ilifanyika katika bustani za kanisa hilo.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo la watoto kutoka familia za Wachungaji.


Ndani ya kanisa, vijana wakiwa makini kusikiliza neno.

Viapo




Kicheko cha matumaini...


warembo


Pete, kila mtu aone hii.


Tabasamu flani ivi.



Maombi 


Mandhani mwanana ya eneo la Tafrija. Haya ni mambo ya mama Ringo.





Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi, Mr Janga katika eneo.







Kamera ya Simu inawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele kutoka kwa muumba.


No comments:

Post a Comment