Tuesday, March 17, 2015

Hapa na Pale.

Hapa, Nikiwa napokea hekima kutoka kwa bibi...
Pale; mavuno tayari kulee kwa wakulima...


Maswahibu ya barabarani...Jam

Kiajan wa boda boda akiwa amelala katikati ya barabara baada ya kuanguka. Alionekana ni kama mtu aliyetumia kilevi kabla ya kuanza kuendesha hii pikipiki. Tuachane na ulevi jamani.

Monday, March 2, 2015