Saturday, March 7, 2015

Ugali wa Kwetu - Usukumani.

Ukifika kwetu wakati wa mlo ni lazima ushiriki, ndivyo tulivyofunzwa, UKARIMU.
Ugali wa dona, maharagwe na dagaa. Nyanguge, Magu.

No comments:

Post a Comment