Wednesday, April 29, 2015

Kutoka Iringa, Tanzania

Kamera ya Simu imepokea taswira za Iringa kutoka kwa mdau aliyekwenda pande za huko. Yeye anatumia Nokia Lumia 532, 5MP.

Enjoy taswira za Iringa.






Inajieleza.
Beautiful view.

Wadau wakijipendelea na breakfast ya ukweli.


Hii ndio Iringa Bwana...


Thursday, April 23, 2015

Saanane Island - Mwanza.

Such beauty


Twiga?? Hapana ni mti uliofanana na twiga anayekula majani. Maajabu ya Muumba haya


Watalii

Unaona?

Mambo ya utalii wa ndani haya. KARIBU MWANZA.

Tuesday, April 14, 2015

Ni Daudi na Delfina!!

Baada ya kusubiria kwa muda mrefu, hatimaye tarehe 12Apr2015 ilifika na Daudi akamuoa Delfina. Ndoa yao ilifungwa katika kanisa la KVCC Mwanza na tafrija iliyofana ilifanyika katika bustani za kanisa hilo.

Hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo la watoto kutoka familia za Wachungaji.


Ndani ya kanisa, vijana wakiwa makini kusikiliza neno.

Viapo




Kicheko cha matumaini...


warembo


Pete, kila mtu aone hii.


Tabasamu flani ivi.



Maombi 


Mandhani mwanana ya eneo la Tafrija. Haya ni mambo ya mama Ringo.





Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi, Mr Janga katika eneo.







Kamera ya Simu inawatakia maisha mema ya ndoa na baraka tele kutoka kwa muumba.


Thursday, April 9, 2015

Upinde wa mvua/Rainbow mkoa wa Pwani



Usiku wa Delfine Samson


Kamera ya Simu ilipata nafasi ya kuhudhuria Usiku wa Delfine ambaye aliagwa na wazazi wake Tarehe 9 Apr 2015 ili akaanze maisha ya familia na kijana Daudi Zakaria. Arusi yao itakuwa tarehe 12 April 2015.

Hizi ni baadhi tu ya picha za yaliyojiri kwenye tukio hilo lililofana sana.
Delly na wapambe wake...



Uso wa matumaini kutoka kwa mtarajiwa Daudi Zakaria

Kaka wa Bwana Arusi; Kaka G, Salum Nkanga na Urio

Dada Mkubwa pia alikuwepo.


Mtu na mtuwe



Miziki sasa









Huyu nilimpenda bure kabisa...