Sunday, December 7, 2014

Huawei Ascend W1-00 Amazing shots!

Evening at Malaika Beach Hotel - Mwanza Tanzania

Beautiful Church Compound in Mwanza, Tanzania

Graveyard, Kilosa Morogoro Tanzania.

Somewhere in Tanzania.

Inside CRJ 200 cabin Fleet of Air Tanzania

Tuesday, December 2, 2014

WENDE SECONDARY SCHOOL

Wende Secondary School ni shule ya sekondari katika mji wa Njombe. Ni shule inayomilikiwa na chama cha waalimu wastaafu. 

Shule ipo umbali wa kama kilometa 4 kutoka mjini na ina mazingira rafiki kwa elimu ya mtoto wako.

Usajili wa wanafunzi kwa mwaka wa masomo ujao unaendelea.

Kwa maelezo zaidi kuhusu shule hii wasiliana na uongozi wa shule kwenye anuani ifuatayo;

P.O.Box 222 Njombe
PHONE:0784 65 1073
Ordinary Level Educatio(O Level)
SCHOOL REGISTRATION NUMBER:S.1406


Tuesday, November 25, 2014

Unaweza kututumia picha yako pia...

Umepiga picha na unatamani wote tuione??

Itume picha hiyo kwenye email yetu; kamerayasimu@gmail.com

Sharti ni moja tu lazima picha iwe imepigwa na kamera ya Simu. Ni vyema pia ukasema ni aina gani ya simu unayotumia.

Karibu sana.

Kamera ya Simu.

Black car and a shadow.

Shadow..


Nokia Lumia 1320.

Cool evening Sky.


Mwanza,Tanzania.

Nokia Lumia 1320.

Monday, November 24, 2014

KARIBU!

Maraa nyingi tumetamani kuwaonyesha wengine picha tunazofanikiwa kupiga na kamera za simu zetu. Hebu tutumie ukumbi huu kuwaonyesha wengine Picha zetu.

Na tuanze...
Overlooking lake Victoria  from the second floor of the Eka Cliff Building, Mwanza.

Baobab Tree, Igawa,Mbarali, Mbeya.

Lone road. Nsonyanga, Usangu, Mbeya

Afternoon Train From Kapiri Mposhi to Dar Es Salaam, spotted Somewhere in Usangu Valley, Mbeya.

Photos taken by Nokia Lumia 1320.