Tuesday, March 17, 2015

Maswahibu ya barabarani...Jam

Kiajan wa boda boda akiwa amelala katikati ya barabara baada ya kuanguka. Alionekana ni kama mtu aliyetumia kilevi kabla ya kuanza kuendesha hii pikipiki. Tuachane na ulevi jamani.

No comments:

Post a Comment