Jeneza lenye mwili wa Marehemu bibi Kisena likiwa kanisani kabla ya mazishi. |
Nimejifunza yafuatayo;
1. Penda kwa moyo wote. Na kama unampenda mtu umwambie usikae kimya. Unaweza ukachelewa.
2. Weka utaratibu wa kuwatembelea watu na jitahidi kuwafahamu. Huwezi kufahamu jinsi utakavyoyaathiri maisha yao.
3. Tabasamu kwa kila mtu hata kama humjui, itaifanya siku yake iwe nzuri.
Bibi kisena amemaliza kazi yake, amepumzika. Change today for tomorrow.
No comments:
Post a Comment